March 12 klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa Kigali Rwanda kucheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda na kuibuka na ushindi wa goli 2-1.
Muda mchache kabla ya wachezaji kuelekea hotelini muda mchache kabla ya Yanga kutoka hotelini kuingia kwenye basi na kuelekea uwanjani kwa ajili ya mechi hiyo, mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu hiyo Donald Ngoma aliingia kwenye headlines baada ya kuonekana akitokwa machozi na baadhi ya watu bila.
Ngoma alitoa majibu haya katika exclusive interview na millardayo.com >>>” hahaha kiukweli haikuwa sikuwa nikilia ila huwa na tatizo katika jicho langu la kushoto, lakini linaweza kuona vizuri kuliko lolote, tatizo lilianza nilipokwenda Sweden kwenye majaribio”
Video ya Donald Ngoma akitoa majibu
Kama ilikupita video ya magoli ya mchezo wa APR Vs Yanga uliyochezwa March 12 Kigali Rwanda, Full Time 1-2
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE