Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jibu la Donald Ngoma kwa nini alitoa machozi kabla ya mchezo wa APR March 12 (+Video)
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Jibu la Donald Ngoma kwa nini alitoa machozi kabla ya mchezo wa APR March 12 (+Video)
AyoTV

Jibu la Donald Ngoma kwa nini alitoa machozi kabla ya mchezo wa APR March 12 (+Video)

March 15, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

March 12 klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa Kigali Rwanda kucheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda na kuibuka na ushindi wa goli 2-1.

Muda mchache kabla ya wachezaji kuelekea hotelini muda mchache kabla ya Yanga kutoka hotelini kuingia kwenye basi na kuelekea uwanjani kwa ajili ya mechi hiyo, mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu hiyo Donald Ngoma aliingia kwenye headlines baada ya kuonekana akitokwa machozi na baadhi ya watu bila.

Ngoma alitoa majibu haya katika exclusive interview na millardayo.com >>>” hahaha kiukweli haikuwa sikuwa nikilia ila huwa na tatizo katika jicho langu la kushoto, lakini linaweza kuona vizuri kuliko lolote, tatizo lilianza nilipokwenda Sweden kwenye majaribio”

Video ya Donald Ngoma akitoa majibu 

Kama ilikupita video ya magoli ya mchezo wa APR Vs Yanga uliyochezwa March 12 Kigali Rwanda, Full Time 1-2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

‘Sho Madjozi’ akiwaimbia live watanzania Mama Amina ya Marioo Kidimbwi Beach DSM

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

Rama Mwelondo TZA March 15, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Headlines za Staa Wema Sepetu kuwa na mpenzi mpya Mcongo, kayaandika haya….
Next Article Sentensi za Diamond Platnumz kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?