Mix

Roma, Dogo Janja, Nikki wa Pili na wengine walivyoimba IKULU

on

May 24, 2017 Rais Magufuli amekabidhiwa Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza kiwango cha madini yalimo kwenye Makontena IKULU Dar es Salaam ambapo baadhi ya wasanii walihudhuria kwenye tukio hilo na kupata nafasi ya kuimba mbele ya JPM.

Miongoni mwa wasanii hao ni Amini, Godzilla, Nikki wa Pili, Dogo Janja na wengine ambao baada ya kuimba walipata pia nafasi ya kusalimiana na JPM

Bonyeza Play hapa chini kutazama ilivyokuwa….

BREAKING: Rais Magufuli amtaka Profesa Muhongo ikibidi ajiuzulu

Soma na hizi

Tupia Comments