Top Stories

Stand mpya Dodoma kama Airport, yashika namba 1 Tanzania, ina Kanisa na Msikiti

on

Kama hujafika Dodoma au uliondoka miezi 6 iliyopita ukirudi lazima uone utofauti kwani kila siku panazidi kunoga na hii ni kutokana na Rais John Pombe Magufuli kuhamishia Serikali Dodoma, sasa leo AyoTV na millardayo.com zinakukutanisha na picha za nje ndani mpaka angani za Stand mpya ya Mabasi Dodoma ambayo jengo lake linazidi ubora na mvuto wa viwanja vingi tu vya ndege Tanzania.

HII SASA NDIO HISTORIA YA BILIONEA LAIZER, MSOTO WA MIAKA 10, WAKE WANNE, WATOTO 30, NYUMBA 4

Soma na hizi

Tupia Comments