Mix

Isikupite hii ya vyama vya upinzani Bungeni vilivyotangaza baraza lake la Mawaziri Kivuli…(+Audio)

on

Leo Feb 5 2016 Bunge la 11 kikao cha 9 liliendelea bungeni Dodoma, moja ya tukio lililojumuishwa ilikuwa ni kulitambua baraza la Mawaziri vivuli linaloundwa na vyama vya upinzania, hapa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe anayawasilisha kwako kwenye hii sauti.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments