Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Nyumba za Mbwa ghali zaidi…ipo ya hadi Tsh. 715m (+list Top 7)
Share
Notification Show More
Latest News
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Live: Rais Samia akiwasalimia Wananchi wa Makambako
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Nyumba za Mbwa ghali zaidi…ipo ya hadi Tsh. 715m (+list Top 7)
Mix

Nyumba za Mbwa ghali zaidi…ipo ya hadi Tsh. 715m (+list Top 7)

June 24, 2017
Share
3 Min Read
SHARE

Sahau kuhusu chakula cha gharama na wakati mwingine mavazi na vitu vya thamani ambavyo wanaojua thamani ya viumbe hai wasio binadamu huwanunulia viumbe hao.

Tumekuwa tukishuhudia namna nyumba za Mbwa zinavyokuwa mara nyingi ni kama sehemu ambayo hastahili kuishi kiumbe lakini wapo wanaojua thamani ya Mbwa na huamua kujitoa kwa ajili yao.

Hizi hapa ni nyumba za Mbwa 7 ghali zaidi duniani.

7: The Farmhouse

Hii inatajwa pia kuwa miongoni mwa nyumba za Mbwa zenye thamani kubwa. Nyumba hii licha ya kuwa na madirisha yenye vioo lakini ina vyumba vingi. Ni nyumba ambayo ina thamani ya Dollar 2,200 ambazo ni sawa na Tsh. 4.8m.

6: The Hunderhaus Cubix

Kama unatafuta nyumba kwa ajili ya Mbwa wako, hii itakufaa. Ina madirisha ya vioo kwa ajili ya kupitisha mwanga na kwa namna ilivyojengwa humfanya Mbwa aishi sehemu yenye usalama zaidi. Unaambiwa kama unahitaji nyumba hii utalazimika kulipa zaidi ya Dollar 2,600 ambazo ni sawa na Tsh. 5.7m.

5: The Dream Come True

Ni miongoni mwa nyumba za Mbwa nzuri zenye kupendeza ambapo unaambiwa ukihitaji utalazimika kulipa Dollar 2,600 sawa na Tsh. 5.7m.

4: The Palace

Kama unahitaji Mbwa wako kuishi katika nyumba hii ambayo ni moja kati ya nyumba za Mbwa nzuri na zenye gharama utalazimika kulipa Dollar 5,400 sawa na Tsh. 11.8m.

3: The Colonial

Nyumba hii ilibuniwa na La Petite Maison na gharama yake ni Dollar 6,100 sawa na Tsh. 13.4m. Unaambiwa nyumba hii ilibuniwa kama nyumba ya mmiliki wa Mbwa.

2: The Hacienda

Ulishawahi kufikiria nyumba ya Mbwa kuwa na maji yatembeayo, umeme na AC? Hujawahi, lakini yupo ambaye amefanya hivyo kwa ajili ya Mbwa wake. Nyumba hii ilimgharimu mteja Dollar 30,000 sawa na Tsh. 66m.

1: The Mansion

Unaweza kufikiria kutumia Dollar 325,000 sawa na zaidi ya Tsh. 715m kwa ajili ya nyumba ya Mbwa? Hivyo ndivyo alivyofanya Paris Hilton. Mbwa wake sita wanalala sehemu hii. Ina eneo la square 300 na imejengwa kwa mfano wa nyumba yake.

EXCLUSIVE: Ebitoke afunguka baada ya kukutana na Ben Pol!!!

You Might Also Like

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

Kampuni ya PAET imewekeza Dola Milioni 70 uendelezaji gesi

TAGGED: Pichaz
Millard Ayo June 24, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 9: IGP Sirro alivyofunga mafunzo ya Maafisa Uhamiaji leo CCP, Moshi
Next Article PICHA: Heshima aliyopewa Victor Wanyama na kamati ya Kata ya Ubungo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

August 11, 2022
Top Stories

Live: Rais Samia akiwasalimia Wananchi wa Makambako

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?