on air with millardayo

VIDEO: Dogo Janja yuko tayari Diamond ampigie hata mruzi tu iwe kolabo

on

Dogo Janja ni msanii wa bongofleva ambaye amerudi kwenye game baada  ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kufanya muziki, hapa alikaa kwenye OnAIR with Millard Ayo na kuongelea msanii anayetamani kufanya nae kolabo.

Unaweza kuangalia Video hii hapa chini

ULIKOSA HII EXCLUSIVE YA DOGO JANJA AMBAYO HATAYASAHAU, SHULE MUZIKI NA MAISHA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments