Sote tunafahamu kwamba ni kawaida kwa mnyama kufundishwa kufanya kitu flani na binadamu akaelewa lakini sio kawaida Mnyama kumfundisha kitu binadamu.
Moja kati ya video zilizopata watazamaji wengi kwenye mtandao wa Youtube ni ile inayomuonyesha Mbwa akimfundisha mtoto namna ya kucheza.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook