Burudani

Dogo anae-trend kwa kuimba cover ni level za juu “Alikiba alinicheki DM dogo unatisha” (+video)

on

Gold Boy ni Msanii wa Bongofleva anaechipukia kutokea Mkoa wa Kigoma ni maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii hasa kwa ufanyaji wa cover za nyimbo mbalimbali za Tanzania na Nje ya Tanzania.

Lawama za zilikua nyingi kwa masabiki wake kua ana uwezo wa kuimba lakini kwa nini hatoi ngoma zake mwenyewe kila siku yeye anatoa cover pekee.

Good news ni kwamba kaachia ngoma yake mpya inayoitwa ‘Tell Me’ na video yake ambapo kazungumza mengi kuhusiana na sanaa anayoifanya.

Soma na hizi

Tupia Comments