Habari za Mastaa

Young Dee Feat. Ben Pol kwenye hii Video mpya ‘Do It’

on

bem

Young Dee amerudi kwenye headlines za burudani na kuachia ngoma yake mpya ya ‘Do It’ ndani akimshikisha Ben Pol.

Video imefanyika katika maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam chini ya mtayarishaji Khalifan.

Itazame hapa mtu wangu…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments