AyoTV

VIDEO: Waziri mkuu Majaliwa katangaza ratiba rasmi ya serikali kuhamia Dodoma

on

Baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa serikali itahamia Dodoma, leo September 16 2016 Waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akihitimisha mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja  ametangaza ratiba rasmi itakayotumika katika mchakato huo wa kuhama .

Ratiba kamili ya Waziri mkuu Majaliwa kuhusu serikali ya awamu ya tano kuhamia Dodoma nimekuwekea kwenye hii video hapa chini…

ULIMIS ALICHOKIONGEA WAZIRI MKUU MAJALIWA KUHUSU UCHUMI WA NCHI

Soma na hizi

Tupia Comments