AyoTV

VIDEO: ‘Nitakimbia nchi nzima kueleza usaliti wa Wabunge’ –Kangi Lugola

on

Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola amelieleza Bunge kuwa endapo Wabunge watakubali kupitisha bajeti ya Wizara ya maji na umwagiliaji  kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambayo amesema inamapungufu mengi ukilinganisha na uhitaji wa huduma hiyo basi atakuwa tayari kuwahamasisha watu na kuzunguka nchi nzima kuwaeleza namna wawakilishi wao wanavyowafanyia usaliti.

PAPO KWA PAPO: Maswali ya Mbowe kwa Waziri Mkuu Bungeni leo 

Soma na hizi

Tupia Comments