Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Don Jazzy aionyesha hamu yake ya kuwa na ndege binafsi kama Davido
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Don Jazzy aionyesha hamu yake ya kuwa na ndege binafsi kama Davido
Entertainment

Don Jazzy aionyesha hamu yake ya kuwa na ndege binafsi kama Davido

September 12, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji mkongwe na muandaaji mkuu wa muziki, Michael Collins Ajereh almaarufu Don Jazzy anazungumzia juu ya hamu yake ya kumiliki ndege ya kibinafsi kama vile anayevuma kwa Afrobeats, Davido Adeleke.

Bosi huyo wa Mavin Record alifunguka hayo katika chapisho kwenye ukurasa wake wa Twitter alipokuwa akilalamika kuhusu safari iliyopangwa kuelekea New York, Marekani.

Don Jazzy alilalamika kwamba ndege ya kimataifa aliyopangiwa kusafiri ilielekezwa Raleigh-Durham ambapo ndege hiyo ingesimama kabla ya kuelekea mahali pa mwisho.

Alitarajia siku moja angemiliki ndege binafsi kama Davido ili asipate shida zote za safari za ndege za kibiashara.

Don Jazzy aliandika…

“Na New York I wan go since o. Now I have found myself in Raleigh-Durham 🤦🏾‍♂️. One day we sef go be @davido 🙌🏾. Private Jet is needed. Baba GOD run am 🙏🏽”

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA September 12, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wadukuzi wa Iran waingilia kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30
Next Article Sancho afanya maamuzi kuhusu mustakabali na Manchester United…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?