Michezo

Done DEAL: Dickson Job asaini Yanga SC

on

Beki wa kati wa club ya Mtibwa Sugar ya Morogoro Dickson Job amesaini mkataba wa kuichezea Yanga SC.

Job anajiunga na Yanga SC kwenda kuimarisha safu ya ulinzi wa club hiyo, hiyo ni kwa mujibu wa post ya instagram ya Eng. Hersi Said.

Kupitia Instagram ya page ya Hersi amepost picha hiyo na kuandika “JOB is DONE” lakini hajataja muda wa mkataba licha ya taarifa za chini kutaka kuwa ni miaka miwili na nusu.

Soma na hizi

Tupia Comments