Michezo

DoneDEAL: Chelsea yathibitisha kumnasa Hakim Ziyech

on

Club ya Ajax ya Uholanzi imetangaza kuwa kiungo wao Hakim Ziyech raia wa Morocco kuwa atajiunga na club ya Chelsea ya England July 1 2020 mara baada ya kumalizika kwa msimu huu.

Kabla ya taarifa hizo kutoka Chelsea walijaribu kutaka kumsajili Hakim Zitech katika dirisha dogo la January lakini Ajax hawakuwa tayari kumuachia kwa wakati huo hadi dirisha la majira ya joto ndio wanaweza kumuachia kama walivyothibitisha.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments