Michezo

DoneDEAL: Lamine Moro aongeza mkataba Yanga SC

on

Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Eng Hersi Said ambaye amekuwa akihusika kufanya usajili wa wachezaji wa Yanga SC, amethibitisha kuwa beki wao wa kimataifa ya Ghana Lamine Moro ameongeza mkataba Yanga SC hadi 2023.

GSM ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC upande wa uuzaji na usambazaji wa jezi (kit Supplier) na wamekuwa wakiisaidia klabu hiyo kufanya usajili wa wachezaji na kulipa mishahara.

Soma na hizi

Tupia Comments