Michezo

DoneDEAL: Man City imemsajili Ruben Dias

on

Club ya Man City ya England imetangaza kumsajili beki wa kimataifa wa Ureno Ruben Dias ,23, kutokea club ya Benfica ya Ureno na kumpa mkataba wa miaka sita.

Ruben Dias imeripotiwa kuwa amesajiliwa kwa dau la euro milioni 68 na kujiunga na miamba hiyo ya Etihad, hivyo Pep Guardiola akiendelea kuweka rekodi ya kufanya sajili za gharama zaidi za mabeki.

“Man City ni club ya juu na mimi kupata fursa kuwa katika klabu kama hii, Ligi kama hii (EPL) ndio kila kitu nilichokuwa nataka”>>> Ruben Dias

Soma na hizi

Tupia Comments