Michezo

DoneDEAL: Vidal asaini Inter Milan.

on

Club ya Inter Milan ya Italia imemsajili Arturo Vidal ,33, kutokea club ya FC Barcelona ya Hispania, Vidal raia wa Chile anaungana na kocha wake wa zamani Antonio Conte.

Vidal inaripotiwa kuwa uhamisho wake kwenda Inter Milan haujavuka euro milioni 1, huu ukiwa ni muendelezo wa kocha mpya wa FC Barcelona Ronald Koeman kuruhusu baadhi ya mastaa kuondoka na kusuka timu yake upya.

Baada ya kujiunga na Inter Milan sasa ni wazi Vidal anaungana na Kocha Antonio Conte aliyewahi kumfundisha wakiwa Juventus na kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu ya Italia (Serie).

Soma na hizi

Tupia Comments