Michezo

DoneDEAL: Yanga SC imemsajili Yikpe

on

Club ya Yanga SC imetangaza kumsajili mshambuliaji wa Ivory Coast Yikpe Dominique kwa mkataba wa miaka miwili.

Yikpe anajiunga na Yanga SC baada ya kuondoka Gor Mahia FC ya Kenya kutokana na kuvunja nao mkataba.

Soma na hizi

Tupia Comments