Michezo

DoneDEAL: Yanga yamnasa Adeyun Seleman

on

Baada ya club ya Azam FC kutangaza kuwa mchezaji wao Ditram Nchimbi aliyekuwa kwa mkopo Polisi Tanzania anajiunga na Yanga SC kwani wameshamalizana inasubiriwa utambulisho rasmi.

Uongozi wa Yanga leo umekuja na usajili mpya wakati huu ikisubiriwa kutambulishwa kwa Ditram Nchimbi aliyeko Uganda katika kikosi cha Kilimanjaro Stars katika michezo yq CECAFA Senior Challenge Cup 2019.

Yanga leo imemtambulisha Adeyun Ahmad Seleman kutokea JKT Tanzania kuwa ndio mchezaji wao mpya na atadumu Jangwani kwa mkataba wa miaka miwili.

Soma na hizi

Tupia Comments