Michezo

DoneDEAL: Zlatan arejea AC Milan

on

Zlatan Ibrahimovic (38) amerejea tena AC Milan kama mchezaji huru baada ya kuondoka 2012, Zlatan inaripotiwa amesaini mkataba wa miezi sita kuitumikia AC Milan.

Inaelezwa kuwa Zlatan anaweza kustaafu mwisho wa msimu, mkataba wake na AC Milan ukimalizika lakini ni taarifa ambazo hazijathibitishwa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments