AyoTV

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

on

Mwigizaji Dorah ni miongoni mwa wasanii watakaonekana katika tamthilia mpya iitwayo Jua Kali ambayo imezinduliwa leo January 6, 2021, sasa Dorah amejikuta kwenye wakati mgumu katika uzinduzi huo baada ya kushindwa kujizuia kumwaga machozi huku akisimulia  maisha magumu aliyopita.

Staa huyo akizungumza na Ayo TV & Millardayo.com alisema ‘Najisikia vibaya sana kuona watu wananisema kutokana na nilivyo mimi Dorah ila sikupenda niwe hivi, na katika tamthilia hii ya Jua Kali nimeigiza husika wangu huu huu na kupeleka ujumbe kwa jamii’- Dorah 

Dorah ni Mwigizaji wa Filamu mwenye miaka 25, itazame hii video hapa ujionee akielezea mengineo

Soma na hizi

Tupia Comments