Habari za Mastaa

Dorah kwa huzuni asimulia ndugu walivyomnyanyapaa “Waliniona mkosi” (video+)

on

Ni mahojiano na Mwigizaji Dorah aliyepata umaarufu kupitia tamthilia ya Kapuni na baadae kufanya vizuri zaidi kupitia tamthilia ya Jua Kali ambayo Dorah amesema sehemu ya maisha anayoigiza hivi sasa aliwahi kuyaishi akiwa mdogo baada ya Ndugu kumtenga.

PARTY ZA COCO BEACH ZAANZA… HUYU NI DULLY SYKES

Tupia Comments