Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Doris Mollel apewa Milioni 70 na Rais Samia asimulia alivyopigiwa simu ( video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Doris Mollel apewa Milioni 70 na Rais Samia asimulia alivyopigiwa simu ( video+)
Top Stories

Doris Mollel apewa Milioni 70 na Rais Samia asimulia alivyopigiwa simu ( video+)

November 21, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia pesa zake binafsi, Tsh. Milioni 70 kusaidia Watoto njiti kupitia Taasisi ya Doris Mollel Foundation ambapo ameingiza Milioni 20 kwenye akaunti ya Doris Mollel Foundation na amenunua pia vifaa vya kuwasaidia Watoto Njiti vyenye thamani ya Tsh. Milioni 50.

Wakizungumza kwenye mahojiano maalum ya pamoja na Ayo TV  katika Hifadhi ya Serengeti leo, Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja na DC wa Serengeti Dr. Vicent Mashinji wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa msaada wake huo na kusema Serikali kwa ujumla inaendelea kufanya mambo mengi kuwasaidia Watoto njiti kwa kushirikiana na Wadau kama Doris Mollel Foundation.

Taasisi ya Doris Mollel Foundation leo ikiongozwa na Mkurugenzi wake Doris Mollel imeadhimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani ambayo kwa kawaida huadhimishwa mnamo tarehe 17 Novemba kila mwaka, kwao maadhimisho hayo yamefikia kilele leo November 20, 2022 ambayo ni Siku ya Mtoto Duniani na yanafanyika katika viwanja vya Robanda, vilivyopo katika Wilaya ya Serengeti, Mkoani Mara kwa kugawa vifaa tiba na kufanya utalii katika Hifadhi ya Serengeti ikiwemo kupanda Hot Air balloon na kutalii katika Hifadhi ya Serengeti kwa ajili ya kukuza utalii na kuhamasisha kujitolea.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA November 21, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article DC akoshwa na Ukomavu wa Jeshi la akiba Mkoani Geita, atoa maagizo haya
Next Article Ballo ilivyotumika kuadhimisha mtoto njiti Duniani Mbuga ya Serengeti, Watalii wafunguka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?