Michezo

Kama mechi ya Dortmund vs Real Madrid ilikupita jana, magoli yako hapa

on

article-2599870-1CF2528E00000578-875_636x437Pamoja na kufungwa 2-0 katika mchezo wa pili wa hatua ya robo fainali ya michuano ya mabingwa wa ulaya, Real Madrid jana walifanikiwa kuingia nusu fainali mbele ya Dortmund ya Ujerumani.

Mechi ya kwanza Real Madrid walishinda 3-0 hivyo matokeo ya jumla ni 3-2.

Tupia Comments