Habari za Mastaa

Davido kathibitisha kufanya kolabo na Joh makini, Kayaandika haya

on

Hivi karibuni Msanii Joh Makini kutoka kundi la Weusi, aliwaahidi mashabiki zake juu ya kufanya kolabo na msanii Davido wa Nigeria, sasa April 3 kupitia ukurasa wa Instagram wa Mwimbaji na staa kutokea Nigeria Davido amethibitisha kuwa tayari washaanza kuandaa kolabo hiyo na mkali Joh makini.

Kwenye ukurasa huo Davido alipost  picha akiwa pamoja na Joh Makini na kuandika maneno yalisomeka “Back to work On set shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ  x NAIJA”

VIDEO: ‘Kwa nini watu wanajaribu kunirushia chupa’-Harmorapa

Soma na hizi

Tupia Comments