Videos

VideoMPYA: DJ Khaled ametuletea hii Video yake mpya – Do You Mind

on

Baada ya kuhost show ya utoaji wa tuzo za BET Hip Hop 2016 zilizorushwa usiku wa kuamkia October 5, 2016 na kuibuka na tuzo tatu ikiwemo ya DJ of The Year, MVP of The Year na Hustler of The Year, DJ Khaled hatimaye ameachia mzigo huu unaopatikana kwenye albam yake mpya ya Major Key “Do You Mind” akiwa na mastar wengine kama Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jeremih, Future & Rick Ross. Don’t play yourself…

ULIPITWA NA TAARIFA YA KURUHUSIWA KWA CHURA YA SNURA KWENYE RADIO NA TV? TAZAMA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments