AyoTV

VIDEO: Diamond baada ya kusikia ada za namba binafsi za magari TZ zimepanda

on

Wakati Bajeti kuu ya serikali inasomwa Dodoma bungeni juzi ndio ilijulikana kwamba ada ya namba binafsi za magari nchini Tanzania imepandishwa, ni kwa wale ambao wamekua wakiandika majina badala ya namba za mfumo wa kawaida.

Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa wenye majina badala ya namba kwenye magari yao, AyoTV imemdaka ili kupata mtazamo wake.

ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments