Top Stories

DPP azungumzia mtu kupigwa risasi Serengeti (+video)

on

Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka nchini Biswalo Mganga amesema kuwa kama kuna mtu ana ushaidi uliokamilika kuwa aliona Askari wa TANAPA wanashambulia kwa risasi mtu aliyeingia Hifadhi ya Taifa ya Serengeti apeleke ushaidi.

Soma na hizi

Tupia Comments