Dr.Tulia Ackson kugombea kiti cha Urais wa bunge la Dunia IPU.

Imeelezwa kwamba Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dr.Tulia Ackson ameonyesha nia ya kugombea kiti cha Urais wa Uspika wa Bunge la Dunia IPU. Akizungumza katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, mbunge wa Singida Mashariki, Elibariki Kingu amesema; “Safari hii ni zamu ya Afrika, urais huo wa bunge la Dunia inakuwa … Continue reading Dr.Tulia Ackson kugombea kiti cha Urais wa bunge la Dunia IPU.