AyoTV

Wauza unga wanaishi kifahari gerezani? Sianga kutishiwa kifo?

on

Moja kati ya habari zilizochukua headline kwenye Magazeti ni pamoja na iliyodai Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga kusema wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya waliofungwa jela wanaishi maisha ya kifahari .

Ayo TV na millardayo.com zimempata Kamishna wa Sheria wa Mamlaka hiyo Edwini Kakolaki ambaye anafafanua zaidi na unaweza kumsikiliza kwa kuplay VIDEO hii hapa chini…

VIDEO: Ulipitwa na hotuba ya Rais Magufuli akielezea hatma ya wanafunzi waliopata mimba kurudi shuleni…bonyeza PLAY kwenye VIDEO hii!!!

Soma na hizi

Tupia Comments