Habari za Mastaa

Drake amesuprise mashabiki baada ya kuachia Mixtape mpya ‘ Dark Lane Demo Tapes’

on

NI Headlines za Mali kutokea Canada, Drake ambae baada ya kufanya vizuri kwa wimbo wake uitwao Toosie Slide, sasa leo amekuja na mixtape mpya yenye nyimbo 14 iitwayo Dark Lane Demo Tapes.

Kwenye Mixtape hiyo amewashirikishwa mastaa wakali akiwemo  Chris Brown, Future, Playboi Carti, Young Thug na wengineo.

Mbali na Mixtape hiyo pia Drake amewajuza mashabiki kuwa anatarajia kuja na album mpya itatarajiwa kutoka kati ya Mwezi June ama Mwezi wa nane Mwaka huu.

Soma na hizi

Tupia Comments