Habari za Mastaa

Drake avunja rekodi ya ‘Toosie Slide’ kupitia mitandao ya kijamii

on

Ni Mkali wa Hip Hop kutokea nchini Canada, Drake ambae time hii ameandika rekodi kupitia wimbo wake uitwao Toosie Slide kwa kufikisha hashtag Bilion 3 kupitia mitandao ya kijamii.

Hapo Awali rekodi hiyo ilikuwa ilikuwa ikishikiliwa na mwanadada Kylie Jenner na kwa mujibu wa Mtandaoni wa TMZ unasema wimbo huo ‘Toosie Slide’ kupitia mtandao wa TikTok hashtag ina zaidi ya watu bilion ambapo ukijulisha na hashtag za platform zingine unapata Bilioni 3.

Kwa Idadi hiyo inatoa majibu kwamba wimbo wa Drake unaendelea kufanya vizuri katika chart mbalimbali huku wasanii wenzake akiwemo Justin Bieber, Ciara, Chance The Rapper, Lebron James na wengine wakiendeleza Challenge ya wimbo huo.

 

Soma na hizi

Tupia Comments