Duniani

Drake atangaza kuachia album hii December 2016

on

Nafahamu kuna watu wangu ni wapenzi wa kufuatilia updates za wasanii wa nje ya nchi nikizungumzia mastaa kama Rihanna, Kanye West, Justin Bieber, Beyonce na wengineo wengi, pia katika list rappers bora wa Marekani uwezi kuacha kumtaja Drake ambae ameingia kwenye headline na album yake ya awali ya ‘Views’.

Good news kwa mashabiki wa Rapper Drake wakae mkao wa kula baada ya Rapper huyu kutangaza kuachia album nyingine tena  ifikapo December 2016 itakayobeba jina la ‘More life’  na tayari ameshaachia nyimbo 4 katika hii album leo  Oct 24 2016.

Drake performs at Madison Square Garden Pictured: Drake Ref: SPL1330686 040816 Picture by: Rick Davis / Splash News Splash News and Pictures Los Angeles:310-821-2666 New York:212-619-2666 London:870-934-2666 photodesk@splashnews.com

Staa huyu aliongea maneno haya akiwa anahost show ya Radio ya Apple Beats 1, OVO Sound, na haya ndio maneno aliyoyaongea..

‘Nataka niwape mkusanyiko wa nyimbo ambazo mtazisikiliza kwenye maisha yenu yote,kwahiyo hii playlist ya More life kama nilivyosema kwamba itatoka December’ Drake

Pia kudhihirisha zaidi akaandika maneno kuhusu album hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram..

untitled

ULIMISS KUIONA HII PERFOMANCE YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE MTVMAMA 2016? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments