Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Drake:Najuta kuwataja majina “Ex” katika nyimbo zangu!
Share
Notification Show More
Latest News
Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
May 30, 2023
GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa
May 30, 2023
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Drake:Najuta kuwataja majina “Ex” katika nyimbo zangu!
Entertainment

Drake:Najuta kuwataja majina “Ex” katika nyimbo zangu!

March 2, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Wapenzi wa baadaye wa Drake huenda  hawataonekana wala kusikika majina yao kwenye muziki wake yaani hata kushirikishwa na drake kwenye ngoma yoyote, kulingana na rapper huyo kudai kuwa huenda amewaharibia maisha yao hasa kipindi  wakiachana na kuendelea na maisha yao binafsi na wapenzi wengine.

Akiwa anazungumza na Lil Yachty kwenye “Moody Conversations” hivi majuzi, rapper huyo alikiri kwamba ana majuto mawili linapokuja suala la kazi yake ya miongo kadhaa kwanza kuwataja wapenzi wake wa zamani katika nyimbo zake na kuwaita rappers wakubwa 😆.

Ingawa alifafanua kwamba “mashairi hayana nia mbaya,” .

Katika albamu saba  za Drake, rapper huyo amewaita baadhi ya mastaa wakali wa Hollywood alio wahi kuwa na mahusiano nao kama vile Rihanna na SZA.

Katika wimbo wake wa 2021 “Mr.Right Now,” rapper huyo alidai kuwa alichumbiana kwa muda mfupi na mwimbaji wa “Kill Bill” SZA ndio mana alimtaja.

Mwaka huo huo, alirudi tena kwenye uhusiano wake na Jennifer Lopez na alimtaja katika ngoma  “Diplomatic immunity” na kusema 2010 alimpoteza J baada kupoteza halo/2017

Pia amemwita Keshia Chanté maarufu kwenye “In My Feelings” na mwanamke anayeitwa Kiki, ambaye watu wengi walidhani labda alikuwa Kim Kardashian lakini baadae ilisemekana  kuwa mwanamke huyo aliitwa  K’yanna Barber.

Licha ya kusema kwamba amejaribu awezavyo kuacha kufanya hivyo,wakati mwingine Drake anasema huingia tu katika hisia zake katika mashairi na yanayo taja wapenzi wake wa zamani na pia anaonesha hisia zake za kweli kwa mashabiki wanaosikiliza ngoma zake.

You Might Also Like

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

July, 2022 hadi May, 2023 makosa makubwa ya jinai yameongezeka.

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 2, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Justin Bieber atangaza kuahirisha Justice World Tour “ kiafya sipo vizuri”.
Next Article Akamatwa kwa kubeba na kutelekeza vilipuzi uwanja wa ndege!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
Top Stories May 30, 2023
GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa
Top Stories May 30, 2023
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 29, 2023

May 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 29, 2023

May 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 28, 2023

May 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 28, 2023

May 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?