Burudani

Madee aeleza kilichosababisha video yake mpya ya ‘Sema’ kuchelewa kutoka

on

Leo Sept 28, msanii Madee kutokea TipTop Connection ametoa sababu katika ukurasa wake wa instagram ya yeye kuchelewesha kutoa video ya wimbo wake mpya wa ‘Sema’ aliomshirikisha mwanadada Nandy pamoja na Dogo Janja.

Ameeleza kuwa Director wake alikwapuliwa begi na vibaka wakati anampelekea video ya wimbo huo Madee ili kuiachia.

Ulipiwa na hii? KHALID CHOKORAA! Kaeleza kilichomtoa Twanga Pepeta…mipango yake je?

 

Soma na hizi

Tupia Comments