AyoTV

Angalia jinsi Drake alivyobadilishwa sura na kujichanganya mtaani akijifanya Mwandishi wa habari

on

dfffMsanii Drake amebadilishwa sura kwa kubandikwa ndevu za bandia na kuvalishwa wigi ambapo vyote hivyo vimempa muonekano tofauti kabisa na alivyozoeleka.

Alichokifanya ni kuingia mitaani na kuwauliza watu maswali kuhusu yeye na baadhi yao wamemuongelea vibaya bila kujua wanaongea na Drake mwenyewe.

Screen Shot 2014-04-12 at 12.59.02 PMAngalia hii video hapa chini jinsi mambo yalivyokwenda

[youtube youtubeurl=”LGcMYWT30XQ” ][/youtube]

dddddddddddddddddddddddUnataka kila tukio linalonifikia niwe nakutumia? karibu ujiunge na familia ya millardayo.com kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la MillardAyo ambapo iwe usiku au mchana nitakutumia chochote kinachonifikia.

Tupia Comments