Duniani

Picha 8 : Daraja litakalojengwa chini ya maji Norway

on

Leo July 26 2016 nimekutana na hili daraja ambalo sitapenda upitwe mtu wangu, unaweza ukawa umeona madaraja mengi ila hili likakushangaza daraja hili litajengwa chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko kati ya Kristiansand na Trondheim ndani ya mwendo wasaa 21 kwa gari kupitia daraja ilo.

Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya miaka saba mpaka nane ingawa bado wanafanya tafiti za kigeografia na pia daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka 100 iwasaidie wananchi kuvuka kirahisi kwa safari kama za hospitali ambazo inapekelekea watu kupanda helikopta.

Mradi huu utakua wakwanza duniani kujengwa kwa daraja hili nchini Norway.

fl

fgg

fg

ff

fffff

fggggg

fltng

fggg

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA NYUMBA ZA DAR ES SALAAM KUWA NA MABOMBA YA GESI? ICHEKI VIDEO NMEKUEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments