Burudani

Wizkid kuujaza ukumbi watu Elfu 20,000 katika tamasha la Starboy Fest Uingereza

on

NI Msanii wa Nigeria, Wizkid ambae tayari ameshafika nchini Uingereza kwenye maandalizi yake ya tamasha lake aliloliandaa lililopewa jina la Starboy Fest.

Tamasha hilo litaanzia katika jiji la Manchester mnamo October 18, 2019  huko Uingereza ambapo Wizkid akiwa na wasanii wenzake watatoa burudani hiyo katika ukumbi uitwao The 02 ambao tayari umeripotiwa kwamba yameshafanyika mauzo ya tiketi za awali na kumalizika.

Wasanii waliotajwa kuungana na Wizkid katika tamasha hilo la Starboy Fest akiwemo Tiwa Savage,Fireboy DML, Reekado Banks, Innoss’b , Afro B, Oxlade na wengineo.

Starboy Fest ni tamasha linatarajiwa kufanyika katika jiji la Manchester October 8, Uingereza October 19 na Ufaransa October 26

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments