Duniani

VIDEO: Baada ya kutoa album ya Views Drake kaja na hii Filamu

on

Nafahamu kuna watu wangu wapenzi wa kufuatilia updates za mastaa wa nchi za nje, nikiwaongelea mastaa kama Drake, Rihanna, Beyonce na wengine wengi, Goodnews! kwa mashabiki wa Rapper Drake ambapo, Leo September 26 2016 amezishikilia headlines baada ya  kutoa filamu ambayo inatrend sasahivi mitandaoni  iliyobeba jina la ‘Please Forgive me’.

Imeripotiwa na kituo cha habari cha E news kuwa baada kutoa album yake ya ‘Views‘ Rapper huyo akamua kuitolea filamu hii ambayo ni ya muda wa dakika 23 na imetajwa kuwa filamu hii imeshutiwa ndani ya Soweto nchini Afrika ya kusini ndani ya wiki moja tu.

Nakusogezea kipande kidogo cha hii filamu mtu wangu unaweza kuitazama hapa chini.

ULIMISS KUITAZAMA VIDEO YA INTERVIEW ALIOFANYIWA TREYSONGS NA KITUO CHA TV KENYA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments