Duniani

Drake mapenzini tena na Rihanna

on

Najua kuna wapenzi wangu wanaopenda kufatilia au kupata updates za mastaa wakubwa duniani taarifa hii ikufikie Mtu wangu Mtandao wa E News wa Marekani umeripoti  usiku wa August 28 2016 kwenye MTV Music awards mkali wa  Midundo ya  hiphop Drake alielezea hisia zake mbele ya umati jinsi anavyomfeel Mrembo anayemiliki hit single ya Work, Rihanna

Haya ni maneno ya Drake kwa Mrembo Rihanna>>>’Ni mwanamke niliempenda tangu ninamiaka 22, ni mmoja wa marafiki zangu wa karibu sana duniani, atakama ni mdogo kwangu lakini shujaa katika kiwanda cha muziki

unaweza kuiangalia video nimekuwekea hapa chini jinsi Drake alivyongea hayo maneno

597576064

stegini ndani ya MTVvideoaward2016

Screen-Shot-2016-09-03-at-8.30.53-PM

wakiwa club pamoja siku za karibuni

Baada ya tukio hilo mastaa hao walionekana wakirudi hotel moja, pia hivi karibuni wamekuwa wakionekana club pamoja na sehemu zinginezo lakini zaidi wametajwa kuwa na tattoo zinazofanana, zaidi Drake ameyatamka haya kuonesha nia yake kwa mrembo huyo 

>>>’kama isingekuwa kwa amri yake mimi ata kesho ninaweza kufunga nae ndoa’

kg

ULIMISS KUITAZAMA VIDEO YA DJ MAPHORISA WA SOUTH AFRICA ALIVYOTOA BURUDANI DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments