Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Baada ya wiki 8 imeripotiwa Drake na Rihanna wameachana tena
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Duniani > Baada ya wiki 8 imeripotiwa Drake na Rihanna wameachana tena
Duniani

Baada ya wiki 8 imeripotiwa Drake na Rihanna wameachana tena

October 13, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Hii kwa watu wangu wapenzi wa updates za mastaa wa nchi za nje nikiwazungumzia mastaa kama Beyonce, Rihanna, Jay z na wengine wengi kuhusiana na maisha yao kiujumla hata nja na fani ya muziki, August 28 2016 nilikusogezea hii kutoka kwenye Mtandao wa E News wa Marekani ambao uliripoti mkali wa  Midundo ya hiphop Drake kuwa mapenzini tena na Mrembo Rihanna.

Wawili hao wamekuwa wakionekana pamoja mara nyingi kwenye mitoko tofauti na kujulikana kuwa wapo tena mapenzini, mabadiliko yalianza kuonekana 0ct 11 2016 ambapo mrembo Rihanna alionekana peke yake akiwa anaelekea club na sio kawaida mrembo huyo kuwa peke yake bila Drake, Enews imeripoti kuwa Drake kwasasa anaonekana kuwa na mrembo mwingine Model ‘India Love’ ambae ametajwa kuwa ni ex wa Rapper ‘The Game’.

rihanna1__opt

ULIMISS HII PERFOMANCE YA CHRIS BROWN KWENYE STAGE ZA MOMBASA ROCKS MUSIC FESTIVAL? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

You Might Also Like

Silent Ocean imetupitisha kwenye Masoko ya vifaa mbalimbali Dubai, tazama (video+)

Dj Khaled ametuletea hii video mpya ‘Staying alive’ akiwa na Drake na Lil Baby

Chuo kikuu nchini Canada kimeanzisha somo kuhusu Drake na The Weeknd

Album ya Drake yaendelea kupeta katika charts za Billboard

Jamaa analipwa zaidi ya Milioni 12 kwa siku kumshikia mwamvuli (Video+)

TAGGED: Drake, rihanna
Millard Ayo October 13, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ya leo kwenye ile kesi ya waliofungua account feki kusaidia maafa Kagera
Next Article TBT: Picha za utoto za mastaa wa soka Ngassa, Reyes, Kroos na Deco
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
Magazeti June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?