Top Stories

Rais mteule Dr. Magufuli alivyokabidhiwa cheti baada ya ushindi Dar es Salaam.. #FullVideo

on

Hii shughuli ilikuwa October 30 2015, ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Dar es Salaam… WanaCCM pamoja na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais Kikwete, pamoja na viongozi wengine wa vyama vya Siasa, Dini walijitokeza kushuhudia hatua nyingine ya kumalizia mchakato wa kumpata Rais wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tukio lenyewe ilikuwa ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli kukabidhiwa cheti cha ushindi wa Urais baada ya kutangazwa na Tume ya Uchaguzi NEC pamoja na Mgombea Mwenza wake aliyechaguliwa, Mama Samia Suluhu Hassanvideo yake hii hapa kwenye dakika 9

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments