Michezo

Zawadi Chelsea waliyompa Didier Drogba.

on

BjCNnoXCEAAXmmIGwiji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba jana usiku alirudi nyumbani Stamford Bridge lakini akiwa anaichezea Galatasaray dhidi ya Chelsea, timu iliyochangia ujazo mkubwa sana kwenye jina lake

Katika mchezo huo wa jana ambao Chelsea walishinda 2-0 na kufuzu kucheza robo fainali ya Champions League, Chelsea iliamua kumtunukia Drogba zawadi ya kiatu cha silver chenye rangi ya bluu kwa ndani kabla ya game kuanza.BjCJIYKIQAAYKry                                               Zawadi ya kiatu aliyopewa Didier Drogba na Chelsea

Tupia Comments