Top Stories

Droo 16 UEFA inarudiwa

on

Droo ya kupanga hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inarudiwa baada ya kutokea kwa tatizo la kiufundi na baadhi ya vilabu kulalamika.

Tatizo lilianza kutokea pale ambapo Man United alipangwa kucheza na Villarreal kitu ambacho hakikupaswa kutokea sababu walikuwa group moja, hivyo Man United akapangwa kucheza na PSG kitu ambacho kimezua utata na kuonesha kuwa kulikuwa na makosa.

SHABIKI WA SIMBA ULAYA LEO ZIMEPIGWA PASI KAMA MILIONI HIVI

Soma na hizi

Tupia Comments