BreakingNews

Breaking: Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa Mshindi wa kiti cha Urais Zanzibar

on

March 20 2016 ilikuwa ni siku ya ambayo Wananchi wa Zanzibar walipata  fursa ya kupiga kura ili kuwachagua viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali uliofanyika october 25 2016.

Leo March 21 Tume ya Uchaguzui Zanzibar imetangaza matokeo ya uchaguzi huo ambapo imemtangaza mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein kuwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuibuka na ushindi wa asilimia 91.4%

 


Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGOandika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

ULIKOSA KITUKO KILICHOMCHEKESHA RAIS MAGUFULI IKULU JAPO ALIKUA KAWEKA SURA YA KAZI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments