Top Stories

VIDEO: Jibu atalokupa Dr. Luis Shika ukimuuliza kwanini ana hela lakini anaishi kawaida

on

Tunae tena Dr. Luis Shika ambae ameendelea ku-trend Tanzania baada ya kutoka Polisi ambapo ameiongelea historia yake na kusema pesa zake nyingi zipo Urusi ambako alikua na kampuni yake huko kwa muda mrefu.

Dr. Luis anasema Kampuni yake ya Urusi inaendelea kufanya kazi kuhudumia nchi mbalimbali duniani na kuna uongozi aliouweka pale nchini Urusi ambako ndiko makao makuu kikiwa na Wafanyakazi elfu 6.

Sasa swali ni kwanini anaishi maisha ya kawaida sana wakati yeye ni Bilionea? Mtazame kwenye hii video hapa chini akiongea mwenyewe

DR. LUIS SHIKA ASEMA “MIMI SIO MBAMBAISHAJI” AONYESHA KAMPUNI YAKE… MTAZAME HAPA CHINI

MWANZO MWISHO: TAJIRI MTATA DR. LUIS SHIKA ALIVYOJINADI KUNUNUA NYUMBA ZA MABILIONI MNADANI… MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments