social network

Mengine yaliyofanywa na Malkia wa Nguvu Doris Mollel kwenye sekta ya Afya….

By

on

March 12 ilikua ni kelele cha Kampeni ya Malkia wa nguvu,Kampeni ambayo ilikua ikiendeshwa na Clouds Media Group kilele cha kampeni hii kiliambatana pia na utolewaji wa Tuzo kwa wale Malkia wa nguvu waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali.

3Doris Mollel ni miongoni mwa Malkia wa nguvu waliopata tuzo siku hiyo kwenye sekta ya Afya kupitia mfuko wake wa Doris Mollel Foundation ambapo amekua akitoa misaada mbalimbali ya vifaa kwa ajili watoto wanaozaliwa kabla ya muda (Njiti) na March 08 kwenye siku ya Wanawake Duniani aliitumia siku hii kwa kutoa msaada wa  vifaa kwenye hospitali ya Mwananyamala.

1

2

image1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

 

Tupia Comments