Habari za Mastaa

TOP 10: List ya mastaa 10 wa kiume waliovaa vizuri 2016

By

on

Jarida la GQ la Uingereza  kila mwaka hufanya tathmini ya mastaa waliovaa vizuri kwa mwaka husika na limetoa orodha ya mastaa walioongoza kwa kuvaa vizuri mwaka 2016. Rapa Drake kutoka YMCMB ametajwa kama staa wa kiume aliyevaa vizuri kuliko wote duniani kwa mwaka 2016.

Kupitia GQ Dressed Men pia ametajwa rapa Skepta kutoka kutoka Nigeria ambaye anakuwa ni msanii pekee kutoka Afrika kuingia kwenye jarida hilo.

Nimekuwekea hapa TOP 10 ya mastaa waliovaa vizuri mwaka 2016.

  1. Drake (Rapa)
  2. Eddie Redmayne (Muigizaji)
  3. Luke Evans (Muigizaji)
  4. Conor McGregory (Mcheza Karate)
  5. Tom Hiddleston (Muigizaji)
  6. Nick Grimshaw (DJ)
  7. James Corden (Mtangazaji wa TV)
  8. Benedict Cumberbatch (Muigizaji)
  9. Jared Leto (Muigizaji)
  10. Jack O’Connell (Muigizaji)

drake2

Wengine kwenye list hiyo ni pamoja na  A$AP Rocky, Pharrell, Jaden Smith pamoja na Riz MC.

VIDEO: Alichokisema Miss Tanzania 2016 kuhusu alichofanyiwa na Miss Kenya. Tazama hapa chini

VIDEO: Umeuona ukumbi mpya wa Cinema wa jiji la Mwanza? Tazama video hii hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments