AyoTV

VIDEO: “Tutapokea taarifa na tutakuhifadhi, hatukusemi” – Waziri Mkuu Majaliwa

on

February ni mwezi ambao utakumbukwa sana katika mwaka huu 2017 baada ya kuanzishwa harakati za kuwasaka watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya ambapo wengi waliitwa Polisi kuhojiwa na baadhi kufikishwa Mahakamani.

Baada ya zooezi hilo Rais Magufuli alimteua Rogers Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya na timu yake ili klifanya zoezi hilo katika njia bora zaidi chini ya Mwenyekiti wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Mamlaka hiyo inaendelea na zoezi la kuwasaka wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya ambapo Waziri Mkuu Majiliwa anaeleza hatua iliyofikiwa hadi sasa.

Bonyeza play kutazama…

VIDEO: Mtanzania alieanzisha Sober House yake ameelezea mafanikio tangu kuanzishwa kwake. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments